Lipa kwa Tsh! Okoa Pesa na BE FORWARD (Malipo ya Tsh sasa yanapatikana)

Malipo ya Tsh (Tanzania Shilling) sasa yanapatikana kwa wateja wa BE FORWARD nchini Tanzania. Ukiwa na BE FORWARD, unaweza kununua gari kwa Tsh kwa kutumia PayPal au Kadi.

Ukitumia malipo mapya hicho ya Tsh, huhitaji tena kubadilisha fedha zako (Tsh) kwa USD. Usisumbke tena na shida za kubadilisha fedha, kiwango cha juu cha ubadilishaji fedha, wala gharama za ziada. Usiwe na wasiwasi kabisa na malipo ukiwana BE FORWARD. Huduma hii ni bila gharama yoyote!

*Kumbuka: Unaweza kulipa kwa Tsh ukiwa unatumia PayPal au Kadi. Ukiwa unatuma hela kupitia benki au unalipa kwenye ofisi ya BF Tanzania, malipo ya Tsh haipatikani.

Kama unataka kulipa kwa Tsh, ufuate maelekezo ya chini.

Inakuwaje?

Badala ya wewe kutafuta USD, BE FORWARD tunakutumia ankara kwa Tsh kwa kiwango chini cha ubadilishaji.

Ukipokea ankara kwa Tsh, huhitaji tena kutafuta USD wala kuinunua kwa kiwango cha juu cha ubadilishaji.

Kuwa kupokea ankara kwa Tsh, unahitaji kuomba muuzaji wa BE FORWARD kwa email au simu kwamba unataka ankara kwa Tsh.

Ulinganisho wa Malipo

Ukitaka kulipa kwa Tsh, uwe na akaunti ya PayPal au kadi ya Debit au Credit.

Ulinganisho wa Viwango vya Ubadilishaji

Malipo kwa Tsh na BE FORWARD yanasaidia kuokoa pesa yako. Kwa mfano, kiwango cha siku fulani cha BE FORWARD kilikuwa Tsh2,655, maana inakuwa jumla ya Tsh7,965,000 kama gari ina thamani ya US$3,000. Kwa upande mwingine, kiwango cha benki fulani kwa siku hiyo hiyo kilikuwa Tsh2,700, maana inakuwa Tsh8,100,000 kwa thamani ya US$3,000. Ukitumia malipo ya Tsh na BE FORWARD, unaweza uokoa Tsh 135,000 kwa mfano huu. (Tafadhali kumbuka kwamba kiwango kinabadilika kila wakati. Hii ni mfano tu ya siku moja.)

Hatua ya kulipa kwa Tsh

  1. Tafuta magari unayotaka kwenye website ya BE FORWARD.
  2. Ukichagua gari unalotaka kununua, uombe muuzaji wa BE FORWARD kwa email au simu kwamba unataka ankara kwa Tsh.
  3. BE FORWARD tutakutumia ankara kwa Tsh. Kwenye email ya ankara, utaiona linki ya malipo ya PayPal na kadi.
  4. Bonyeza linki kwenye email na endelea na malipo. Utaiona linki hii ukitembelea My Account pia.

Malipo kwa PayPal

Malipo kwa kadi

5. Basi, umeshamaliza hatua yote. BE FORWARD tutakutumia email ya uthibisho kama tumethibitisha malipo yako, halafu tutakutumia ratiba ya usafirishaji.

Ukiwana maswali yoyote, wasiliana nasi kwa top@beforward.jp

Leave a Comment