Lipa kwa Tsh! Okoa Pesa na BE FORWARD (Malipo ya Tsh sasa yanapatikana)

A new payment solution is available for our customers in Tanzania. With BE FORWARD, you can now purchase a car in Tsh (Tanzania Shilling) using PayPal or a Card. With this new payment solution, you don’t need to exchange your cash (Tsh) for USD anymore.

Malipo ya Tsh (Tanzania Shilling) sasa yanapatikana kwa wateja wa BE FORWARD nchini Tanzania. Ukiwa na BE FORWARD, unaweza kununua gari kwa Tsh kwa kutumia PayPal au Kadi. Ukitumia malipo mapya hicho ya Tsh, huhitaji tena kubadilisha fedha zako (Tsh) kwa USD. Usisumbke tena na shida za kubadilisha fedha, kiwango cha juu cha ubadilishaji fedha, … Read more